Monday, June 15, 2020

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Hanang Tarehe 22 Juni 2020

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USALI

Mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Hangang kwa kushirikian ana seketariati ya ajira anapenda kuwatagazia kuwa usaili wa waombaji wa kazi ya Mtendaji Kijiji II utafanyika tarehe 22/06/2020 siku ya jumatatu saa 2 kamili asubuhi

Eneo shule ya msingi Katesh A

Maelekezo

  • fika na cheti halizi cha kidato cha 4 na cha ujuzi (certificate/NTA Level 5) cheti cha kuzaliwa
  • fika na kitambulisho cha NITA/KURA kwaajili ya urahisi wa utambuzi
  • kuzingatia maelekezo ya serikali kuhusiana na tahadhari ya ugonjwa wa COVID 19 Kwa kuvaa barakoa , kutumia sanitizer na kunawa mikono kabla ya kuingia na baada ya kutoka kwenye chumba cha usaili
  • kuzingatia muda uliotajwa katika barua hii
  • mwombaji atakayeshindwa kuzingatia malekezo haya usaili wake hautaendelea
  • kwa niaba ya menejimenti ya watumishi wote wa halamshauri tunawashukuru wote walioonyesha nia ya dhati ya kuungana nansi katika kuwahudumia wananchi wilaya ya hanang

KUSOMA MAJINA PAKUA PDF HAPO CHINI

The post Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Hanang Tarehe 22 Juni 2020 appeared first on Ajira Zetu.

The post Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Hanang Tarehe 22 Juni 2020 appeared first on Ajira - Nafasi za kazi Tanzania 2019.source http://ajira-nafasizakazitz.com/18240/