Friday, June 19, 2020

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Tarehe 23 Juni 2020

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar anapenda kuwataarifi waombaji wa nafasi za kazi ya Udrea katik halmshauri ya Jiji kwamba wanatakiwa kuhudhuria usaili utakao fanyika katika ukumbi wa  karimjee hall tarehe 23 Juni 2020 kuanzia saa tau kamili asubuhi waombaji/wasailiwa wote wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo

  1. Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwaajili ya utambuzi
  2. Vitambuisho vinavyokubalika ni pamoja na kictamulisho cha makazi, kura, kazi na hati ya kusafiria
  3. Wasailiwa wanatakiwa kufika ma vyeti vyao halsi vya kidato cha 4  mafunzo ya udereva pamoja na leseni ya udereva
  4. Wasailiwa watakao kosa vyeti halisi badala yake kuwasilisha ttestimonials provisional of results hawataruhusiwa kuendelea na usaili
  5. Kil msailiwa atajigharamia kwa chakula usafiri na malazi
  6. Kila msailiwa afika na picha yake ya hivi karibuni
  7. Waombaji kazi ambao majina yao hayakonekana katika tangazo hili watambue hawakukidhi vigezo hivyo wasisite kuomba tena pindi nafasi zitakapotangazwa

KUSOMA MAJINA  BOFYA HAPA

The post Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Tarehe 23 Juni 2020 appeared first on Ajira Zetu.

The post Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Tarehe 23 Juni 2020 appeared first on Ajira - Nafasi za kazi Tanzania 2019.source http://ajira-nafasizakazitz.com/18425/