Saturday, June 20, 2020

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halashauri ya Wilaya ya Arusha Tarehe 26 – 27 Juni 2020

HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Mkurugenzi wa Halmashauri anapenda kuwatangazia waombaji wote walioomna kazi ya Msaidizi Kumbukumbu II & Katibu Mahsusi II kuwa usaili utafanyika tarehe 26 – 27 Juni 2020 saa 2:30 asubuhi katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

Aidha usaili wa mchujo utafanyika tarehe 26/06/2020 na wasailiwa watakaofahulu ndio watachaguliwa kuendelea na usailiwa mahojiano tarehe 27/06/2020 katika ukumbi wa Halmashauri siku ya tarehe 27/06/2020 kuanzia saa 2:30 asubuhi

Orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili inaonekana hapo chini kwa waombaji ambao majina yao hayakuonekana kaika orodha hiyo watambue hawakukidhi vigezo kwa mujibu wa nafasi zilizotangazwa, hivyo wasiste kuomba tena pindi nfasi zitakapotangazwa

Waombaji wote walioitwa kwenye usaili wanatakiwa kuzingatia malekezo yafutayo

  1. Wasailiwa wafike na vyeti halisi vya taaluma, kuzaliwa vyeti vya shule na kitambulisho
  2. Vitambulisho vitakavyokubaliwa ni pamoja na Uraia, kitambulisho ch akura, leseni ya udereva, au pasi ya kusafiria
  3. Kwa waombaji waliosoma nje ya nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na malnaka husika (TUC, NACTE, NECTA)
  4. Msailiwa anayekuja kufanya usaili atajigharamia mwenyewe
  5. Msailiwa anatakiwa kuzingatia tarehe, muda na eneo la usaili
  6. Usaili utafanyika kwa nia ya maandishi na mahojiano
  7. Kla msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa barakoa na kuzingatia maelekezo yote ya kujikinga na Corona
  8. Tahadharu na usail utafannyika kwa mujibu wa sheria taratibu na kanuni za utumishi wa umma, kuna matapeli wanaumia majina ya watu na vyeo vya watu kwa lengo la kujipatia fedha kuweni makini na matapeli hao, ofisi haitawasilana n yoyote kwa njia ya simu

KUSOMA MAJINA HAYO PAKUA PDF HAPO CHINI

The post Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halashauri ya Wilaya ya Arusha Tarehe 26 – 27 Juni 2020 appeared first on Ajira Zetu.

The post Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halashauri ya Wilaya ya Arusha Tarehe 26 – 27 Juni 2020 appeared first on Ajira - Nafasi za kazi Tanzania 2019.source http://ajira-nafasizakazitz.com/18462/