Thursday, July 30, 2020

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Mji Newala Tarehe 03/08/2020

HALMASHAURI YA MJI NEWALA

www.newalatc.go.tz

Unapojibu Tafadhali taja

Kumb.Na.NTC/L.30/006/102

Tarehe 23/07/2020

TANGAZOLA KUITWA KWENYE USAILI

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala anapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi ya Mtendaji wa Kijiji iliyotangazwa tarehe 10/07/2020 kuwa, wanatakiwa kufika kwenye usaili siku ya tarehe 03/08/2020.Usaili utafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Mji Newala kuanzia saa 01:00 asubuhi.Orodha ya wanaotakiwa kufika ni kama ifuatayo;

KUSOMA MAJINA PAKUA PDF HAPO CHINI

The post Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Mji Newala Tarehe 03/08/2020 appeared first on Ajira Zetu.

The post Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Mji Newala Tarehe 03/08/2020 appeared first on Ajira - Nafasi za kazi Tanzania 2019.source http://ajira-nafasizakazitz.com/20295/