Thursday, July 30, 2020

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashuri ya Mji Masasi Tarehe 06/08/2020

HALMASHAURI YA MJI MASASI

TAREHE 24/07/2020

KUMB NA. MTC/B.10/101

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Kufuatia tangazo la ajira Kumb Na. MTC/B.10/3/46 la tarehe 30/06/2020 lililohusu nafasi za kazi Katibu Mahsusi III & na Mtendaji Kijiji III nafasi 1 ofisi ya Mkurugenzi inapenda kuwataarifu waliokodhi vigezo kufika kwenye usili utakao fanyika tarehe 06/08/2020 mtihani wa kuandika na watakaofahulu watafanya mtihani wa mahojinao. Usaili utafanyika ukumbi wa Halmshauri ya mji Masasi ukumbi wa shule ya Masasi (Masasi Girls) kuanzia saa 2:00 subuhi

Waombaji wote wanatakiwa kufina na vyeti halisi vya mafunzo na ujuzi kama vilivyoaiishwa kwenye tangazo la ajira pamoja na cheti cha kuzalia aidha partial transrip, provisional results havitapokelewa, muombaji ambaye hajaoa jina lake katik orodha hii atambue hkufanikiwa kutokan ana kutokidhi vigoezo husika

PAKUA PDF HAPO CHINI KUONA MAJINA HAYO

The post Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashuri ya Mji Masasi Tarehe 06/08/2020 appeared first on Ajira Zetu.

The post Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashuri ya Mji Masasi Tarehe 06/08/2020 appeared first on Ajira - Nafasi za kazi Tanzania 2019.source http://ajira-nafasizakazitz.com/20294/